Natafuta mke,awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea.

Natafuta mke,awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea.

Mbilimbi

Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Nina dhamira ya kweli na heshima kubwa natafuta mke awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,yule mwanamke mwenye dhamira ya kweli na heshima zake karibu sana!!mimi nina miaka 43.
 
Na qualify ila kabla ya PM embu tudiskasi mengine, una kazi gani na watoto wangapi? Na je umejenga tayari? Sitashangaa unaangalia mwanamke aliyejitosheleza upate ubwete.
 
daah ngoja nijiachie kwa huyu mzee maana vijana utata mtupu! hapa hukosi kuishi ghorofani
 
Mwenye sifa ajitokeze wandugu, ila mkubaliane terms and conditions mkiwa nje ya gemu ili tusije letewa topic nyingine ya mmoja kawa kupe kwa mwenzie. Ila 40 $ 43 ngumu kumeza aiseee
 
Back
Top Bottom