Natafuta Mke - ( Kama hutafuti mume Don't waste your time reading this)

Natafuta Mke - ( Kama hutafuti mume Don't waste your time reading this)

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,439
Reaction score
1,738
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni handsome, mrefu , maji ya kunde. nimeajiriwa. natafuta mwanamkeke wa kuoa awe na tabia nzuri, awe mwenye mvuto. umri kuanzia miaka 25 - 30. awe majiliwa pia.
kwa yeyote alie na sifa tajwa hapo ani privete massage:
please if you are not interested don't post any comment
 
mzee acha utemi!! cijui kama watakuja kwa ukali wako!!!!!
kila la heri
 
Hapo hujampata, ukimpata atakuwa wa kusema 'Ndio Mzee'. Natoa pole ya awali kwa mtarajiwa. Ingawa umekataza tusicomment, elewa kwamba binadamu si kamili, comments ni moja ya njia za kurekebishana. Nakutakia kila lililo jema ktk safari yako ya kumtafuta mwenza wa maisha yako.
 
Hii ina involve watu walio serious kama mtu yuko serious haimuhusu. huu si utemi. stay out of this pliz
 
Mwalimu wako inaoneka alikuwa na kazi kubwa, hapa sijaomba ushauri, sasa unataka kunirekebisha kwa lipi? hivi mbona mnakuwa wagumu kuelewa. hii ilikuwa kwa ajili ya wale wanaotafuta mume tu! hivi unajua kuwa kusoma kitu kisicho kuhusu ni kupoteza muda? au hujui?
 
hebu jaribuni kuwa na upeo kusema kuwa "kama hutafuti mume usipoteze muda wako " nilikuwa na maana ya kuwa hii post ni kwa ajili ya wanaotafuta waume, hakuna cha spidi hapa ni uelewa wenu umekuwa mdogo.
 
Mwalimu wako inaoneka alikuwa na kazi kubwa, hapa sijaomba ushauri, sasa unataka kunirekebisha kwa lipi? hivi mbona mnakuwa wagumu kuelewa. hii ilikuwa kwa ajili ya wale wanaotafuta mume tu! hivi unajua kuwa kusoma kitu kisicho kuhusu ni kupoteza muda? au hujui?

habar yako chacha mwita...murah..ehh mkali ivo hatar...byee:wave:
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni handsome, mrefu , maji ya kunde. nimeajiriwa. natafuta mwanamkeke wa kuoa awe na tabia nzuri, awe mwenye mvuto. umri kuanzia miaka 25 - 30. awe majiliwa pia.
kwa yeyote alie na sifa tajwa hapo ani privete massage:
please if you are not interested don't post any comment

unatafuta mke BT HUNA SIFA ZA MUME BORA.
ukali km unakunya mavi magumu inahuu?
 
Hakuna ukali hapo ila kwa sababu akili zako ni finyu huwezi kuelewa, kusema kwamba ambae hatafuti mume asipoteze muda nilikua na maana kuwa hii ni spesho kwa wanaotafuta waume. kudhihirisha kuwa akili zako ziko makalioni anagalia maneno unayoandika. alafu we inaoneka ni mtoto wa mtaani wewe umezaliwa bafuni umekulia chhoni.
 
Back
Top Bottom