Mwalimu wako inaoneka alikuwa na kazi kubwa, hapa sijaomba ushauri, sasa unataka kunirekebisha kwa lipi? hivi mbona mnakuwa wagumu kuelewa. hii ilikuwa kwa ajili ya wale wanaotafuta mume tu! hivi unajua kuwa kusoma kitu kisicho kuhusu ni kupoteza muda? au hujui?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni handsome, mrefu , maji ya kunde. nimeajiriwa. natafuta mwanamkeke wa kuoa awe na tabia nzuri, awe mwenye mvuto. umri kuanzia miaka 25 - 30. awe majiliwa pia.
kwa yeyote alie na sifa tajwa hapo ani privete massage:
please if you are not interested don't post any comment