Natafuta Mke, Kwa aliye Serious Naomba Tuwasiliane

Natafuta Mke, Kwa aliye Serious Naomba Tuwasiliane

Per Week

Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
92
Reaction score
232
Habari zenu humu ndani, natumai wote ni wazima. Mimi ni kijana mwenye miaka 29, nahitaji mke kutoka humu au nje ya humu jf. Nimekuja humu kwa kuwa nina amini hili ni jukwaa la great thinkers hivyo waliomo ni watu wazima na wanaojielewa.

Sifa za Mke nayemhitaji;
  • Awe na elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
  • Awe mcha Mungu ( awe na hofu ya Mungu).
  • Awe dini yoyote.
  • Rangi yoyote na kimo chochote.
  • Awe Kabila lolote kasoro Waha.

Sifa Zangu mimi;
  • Nina elimu ya shahada ya kwanza
  • Ninaishi Daressalaam, japo nasafiri mara kwa mara Dodoma( hivyo ni Dar na Dom).
  • Nina Nyumba moja na magari mawili( kirikuu na Harrier).
  • Dini yangu ni Mkristo japo sibagui Muislamu( nipo tayari kuishi na dini yoyote).
  • Nina fanya kazi kwenye taasisi ya kimataifa na pia ninafanya shughuli za kilimo kwa kiasi kikubwa sana.
Kwa wssifu wangu huo na wasifu wa ninayehitaji, basi usisite kuwasiliana nami.
 
Shemeji ngoja nikupe Mdogo wangu hakika ni Kisu na pia ana tabia njema sana.
 
Habari zenu humu ndani, natumai wote ni wazima. Mimi ni kijana mwenye miaka 29, nahitaji mke kutoka humu au nje ya humu jf. Nimekuja humu kwa kuwa nina amini hili ni jukwaa la great thinkers hivyo waliomo ni watu wazima na wanaojielewa.

Sifa za Mke nayemhitaji;
- Awe na elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
- Awe mcha Mungu ( awe na hofu ya Mungu).
- Awe dini yoyote.
- Rangi yoyote na kimo chochote.
- Awe Kabila lolote kasoro Waha.

Sifa Zangu mimi;
- Nina elimu ya shahada ya kwanza( mhasibu).
- Ninaishi Daressalaam, japo nasafiri mara kwa mara Dodoma( hivyo ni Dar na Dom).
- Nina Nyumba moja na magari mawili( kirikuu na Harrier).
- Dini yangu ni Mkristo japo sibagui Muislamu( nipo tayari kuishi na dini yoyote).
- Nina fanya kazi kwenye taasisi ya kimataifa na pia ninafanya shughuli za kilimo kwa kiasi kikubwa sana.
Kwa wssifu wangu huo na wasifu wa ninayehitaji, basi usisite kuwasiliana nami.
Kwa hizo sifa utapata mwenye tamaa,

Wale watulivu hutapata mkuu, watulivu wanaogopa mwanaume mwenye mafanikio kwa hofu ya kunyanyaswa,,

Ila kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom