NATAFUTA MKE MCHA MUNGU

arrested

Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
35
Reaction score
8
Habari zenu wana bodi!
Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa ni hicho mengine si muhimu sana kwangu. anicheki kwa 0710231982
AHSANTENI NAWASILISHA
 
Ungeweka wajihi wako ingeongeza ladha kwenye bandiko.

Kila la heri na Mungu ukupe hitaji la moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…