Habari za hapa ktk jukwaa pendwa mimi nimekuja kuomba ombi hapo juu natafuta mpz awe na miaka30/40mimi nina miaka39 awe mrefu kiasi pia awe amejiajiri au kuajiriwa mimi nimejiajiri pia dini siyo kigezo nitashukuru kumpata asanten napokea maoni na yanayojiri hapa njoo dm kwa maongezi binafsi