Natafuta mke mgumba

Natafuta mke mgumba

LUGAMWI

Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
9
Reaction score
7
Kwa miaka yangu hii 39, nimebahatika kuwa na Watoto 3, na kutalikiana na mama yao mahakamani mwaka moja na nusu sasa.

Kama inavyo sema biblia” afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa” 1 Wakorintho 7:1-2.

Natafuta dada wa miaka 35 na kuendelea, wa dini yoyote, kabila lolote mrefu kiasi mwembamaba kiasi mweusi zaidi awe anaishi Dar es Salaam ninako patikana.

Sina ndoto za kuja kupata watoto tena kiasi naona ni wakati muafaka wa kutafuta mke (mwenye ugumba). kwa walio tayari tuwasilieane Via PM

Asante
 
Kwa miaka yangu hii 39, nimebahatika kuwa na Watoto 3, na kutalikiana na mama yao mahakamani mwaka moja na nusu sasa.
Kama inavyo sema biblia” afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa” 1 Wakorintho 7:1-2.
Natafuta dada wa miaka 35 na kuendelea, wa dini yoyote, kabila lolote mrefu kiasi mwembamaba kiasi mweusi zaidi awe anaishi Dar es Salaam ninako patikana.
sina ndoto za kuja kupata watoto tena kiasi naona ni wakati muafaka wa kutafuta mke (mwenye ugumba). kwa walio tayari tuwasilieane Via PM

Asante
Sifa mbili sina umri na wembamba[emoji42]
 
Back
Top Bottom