Natafuta mke miaka 27-33

MUGUNDA

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
69
Reaction score
62
Natafuta mdada mrembo hata Kama Ni single mother tutalea maana nam Nina watoto tayari. Awe Ana uwezo wa kujielewa na kulinda mahusiano, level ya Elimu Diploma / Degree au zaidi sawa tu.
Pm iko wazi
 
hua sielewi elewi mbunye na elimu wapi na wapi

badala ya kutaja sifa ya mbunye/papuchi unayotaka !

mtu anataka gpa sijui ya kazi gani sasa
HaaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wengine Tumezaliwa Na Mama Zetu Kusoma Hawajui Lakini Maisha Yalikuwa Sawa Sawa
Huyu Jamaa Anatafuta Watumiaji Smartphone
 
πŸ˜€πŸ˜€labda anataka wakuongea nae kizungu ndani
 
hua sielewi elewi mbunye na elimu wapi na wapi

badala ya kutaja sifa ya mbunye/papuchi unayotaka !

mtu anataka gpa sijui ya kazi gani sasa
HaaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wengine Tumezaliwa Na Mama Zetu Kusoma Hawajui Lakini Maisha Yalikuwa Sawa Sawa
Huyu Jamaa Anatafuta Watumiaji Smartphone
 
Ingia badoo..tinder..hi5 utawakuta wamejazana wanakusubiri tu...shape na sura utawaona ujichagulie tu..sio huku jf..

#MaendeleoHayanaChama
 
Anatafuta mke, sio fvckmate
πŸ˜€πŸ˜€kichaka unachotaka kujificha ni kidogo mno.
mke ni tendo na tendo ni mke
ukijaribu kutenganisha hapo kutakuwa hakuna mke wala ndoa!
 
Natafuta mdada mrembo hata Kama Ni single mother tutalea maana nam Nina watoto tayari. Awe Ana uwezo wa kujielewa na kulinda mahusiano, level ya Elimu Diploma / Degree au zaidi sawa tu.
Pm iko wazi
Unafanya kazi gani mkuu?
 
Mkuu nipo na degree come pm boss fasta
 
Natafuta mdada mrembo hata Kama Ni single mother tutalea maana nam Nina watoto tayari. Awe Ana uwezo wa kujielewa na kulinda mahusiano, level ya Elimu Diploma / Degree au zaidi sawa tu.
Pm iko wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…