Rise-Shine
New Member
- Nov 28, 2018
- 2
- 3
Labda yeye ni mzee wa 50+ au ni gigolo wa 20s anatafuta jimama la kumlea.Mnhhh why 35+ ??
Mnhhh why 35+ ??
Ukabila sio mzuri. Dada zetu wakichaga wataolewa na nani sasa?
Hahahahahaha nimecheka sana hilo neno Gigolo kitambo kulisikia duuh!Labda yeye ni mzee wa 50+ au ni gigolo wa 20s anatafuta jimama la kumlea.
Mbona hujasema umri wako wala kabila lako?Umrio huo wengi wanajielewa
Wapo wanaume wanatupenda sana tu wala usijali mkuuUkabila sio mzuri. Dada zetu wakichaga wataolewa na nani sasa?
Kwa kuangalia umri huo alioweka kama kigezo unaweza hata kukadiria umri wake. Nilikuwa nawaza tuMbona hujasema umri wako wala kabila lako?
Sure...apambane tu na hao wa level zakeHuyo anaonyesha ni zwazwa anaogopa challenge za wanawake wasomi ambao wengi ni wachaga na wahaya
Lol, atakua Gigolo huyo.Kwa kuangalia umri huo alioweka kama kigezo unaweza hata kukadiria umri wake. Nilikuwa nawaza tu
Hahahahahaha nimecheka sana hilo neno Gigolo kitambo kulisikia duuh!
Umekumbuka wapi mkuu?Lol, atakua Gigolo huyo.