Huyu ulimuacha?? π π πMimi nina mpenzi HIV positive, wakati Mimi ni negative na naona nashindwa kumuacha. Nampenda sana.
EheeeHuyu ulimuacha?? π π π
Unatafuta mke jamiiforum!?? Aisee si umri ulioutaja ni umri wa sigle mathers? Na hao si wamejaa mtaani? We kijana naona unaota ndoto ya saa 11 jioni weweNatafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni muajiliwa na ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Mengine tutayajenga inbox.
Mkuu usidharau Jf.Unatafuta mke jamiiforum!?? Aisee si umri ulioutaja ni umri wa sigle mathers? Na hao si wamejaa mtaani? We kijana naona unaota ndoto ya saa 11 jioni wewe
Aka kajukwaa huwa ni katamu sana.πππHuyu ulimuacha?? π π π
Kumbe ngoja ntupie uzi , wanapostpostje mpaka uzi unafikia huku ππππ (naanzaje kwanza)Mkuu usidharau Jf.
nilishapata mke humu.Thanks to Jf na ndoa tulishafunga uzuri ni kwamba sote tulikuwa tunatoka mkoa mmoja hivo tukaelewana haraka.
Nikiwa naenda ukweni na home napitia hata sio mbali. Hivo mwache ajaribu bahati yake