Natafuta mke/Mkristo

Eti kazi LAZIMA awe serikalini 🙌
 
Mkuu kwa vigezo ulivyotoa, wasifu, naomba tu nitumie nafasi hii kusema kuwa wewe ubaki bachela tu, huwezi pata mke hapo, binti hawahawa wa kizazi cha 2000? Ungesema tu nataka mcha Mungu tabia tutazoeana kesho tu ungeweka jiko ndani.
 
😂😂😂🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Jisimamie kama mwanaume. Vaa pendeza, nenda ibadani utakutana na mabinti wazuri wanaofaa kuoa. Katongoze unayemtaka. Huo ndiyo uanaume. Siyo kubweteka na kutaka KUTAFUTWA.

Acha hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…