Natafuta mke/Mkristo

Ushaambiwa hataki muhaya
Niache kwanza niendelee kubaki nyumbani 🀣🀣🀣

Afu msabato nehi nehiii
Hao Miungu wa dunia mahiii. Masomo yao magumu
Hakijaharibika kitu,
Mimi natafuta Muhaya bila kuweka Uzi JF,yani nakimbiza mwizi kimya kimya,
Sasa utaamua mwenyewe kama na hii bahati ikupite au la.

😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…