Natafuta Mke mnene

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pete inambana kanenepa bana
Halafu tabia ya kuchungulia dada zangu jirani ikome
Sijaoa jirani alafu napenda mishangazi na hivi kila mara anakuja nyumbani nakomaje πŸ˜…
 
Hapana bado hujui kazi nyingi, maana uzungu umekumaliza. Hama kwanza hapo kwenu capripoint ukapange hata mwaka niamini saivi unaweza kuwa matured.
Capripoint nimehama muda nikahamia Kilimahewa uswaz makelele eeeh, nikahamia Isamilo, last week nimehama tena.

Alaf mim uzungu Poker wapi na wapi sa hv nimebadilika nioe tu mim, mama mkwe ananipenda sana. 😁😁😁😁
 
Umeona? Hutulii kwenye nyumba moja kwasababu hufanyi usafi chooni na kufagia uwa. Hela ya toka hutoi na bado kila siku unafungulia sabufa kama tuko disco. Nyie watoto wa kishua ni changamoto sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mim sina hiyo sab-wufa wala tv wala pasi wala jokofu, alafu wanataka nilipe umeme elfu 25 kwa mwezi sa hiyo ni nyumba au kiwanda.
 
Mi kitu kimoja nachokusifia nacho nikuwa wewe ni mnyumbulifu, uno feni Lina shanga 20, huchoshi yaani fulu mautamu ukizingatia kitu chenyewe mnato. Sasa nakulipia hela ya umeme, ila uache kuhama hama kama Masai.
 
Nilipie ya mwaka mzima kabisa sitaki shida na faza mjenge tena.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😳 Hu mwaka wa 3 sasa nishakugharamia pesa kibao mixer na kukufungulia duka la nguo. Ila mpaka sasa hutaki kunipa kipochi manyoya! Inauma sana πŸ₯ΊπŸ˜­ unanichuna tuu.
 
Alafu dukani mzigo umekata Poker wangu niongezee pesa nikachukue mwingine😘😘😘😘😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…