Natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa

Natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa

Langliguara

Member
Joined
Sep 8, 2024
Posts
41
Reaction score
112
Good morning every one!

Niende kwenye mada moja kwa moja. Dear Wana JF napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa.

My personal details.
  • Jina : Langliguara
  • Jinsia : male
  • Kazi : Mfanyabiashara
  • Elimu : MA
  • Dini : Christian
  • Umri : 38
  • Ninapoishi : Tanzania
  • Kabila : mlawi
  • Uraia : Tanzanian
  • Utayari wa kuoa : 100%
Sifa za mke
• Dini: awe christian
• Umri: under 38
• kazi : any
• Elimu : from diploma to prof
• Kabila : any .

Nb: Nimeandika kwa ufupi Ili nisiwachoshe na maelezo marefu mwanamke yeyote mwenye utayari wa kuolewa tafadhali tuwasiliane through the following

A. Email : langliguara@gmail.com
B. Private message (PM)
 
Sasa hata mwenye 18 si ni under 38!!
 
Hokeee 😊
One Two!
One Two!
watu wazima wenzangu uwanja wenu
🫢ila mkuu id yako ya siku zote ni ipii
 
Ukipata wa ziada nipigie pasi, natafuta mshangazi kuanzia miaka 50 +, nitaulea mie.. ila uwe na big nyashi manyonyoo Yale makubwa akiwa na watoto wasizidi watano..tutalea
 
Tatito umri huo wote Wana watoto,ungesema tu unatafuta singel mother muyajenge na umpende mwanae zaidi ya yeye!
 
Good morning every one!

Niende kwenye mada moja kwa moja. Dear Wana JF napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa.

My personal details.
  • Jina : Langliguara
  • Jinsia : male
  • Kazi : Mfanyabiashara
  • Elimu : MA
  • Dini : Christian
  • Umri : 38
  • Ninapoishi : Tanzania
  • Kabila : mlawi
  • Uraia : Tanzanian
  • Utayari wa kuoa : 100%
Sifa za mke
• Dini: awe christian
• Umri: under 38
• kazi : any
• Elimu : from diploma to prof
• Kabila : any .

Nb: Nimeandika kwa ufupi Ili nisiwachoshe na maelezo marefu mwanamke yeyote mwenye utayari wa kuolewa tafadhali tuwasiliane through the following

A. Email : langliguara@gmail.com
B. Private message (PM)
Umesahau 'Only shortlisted candidates will be called for interview'
 
Hilo ndio jina lako halisi,mbona ni kama scientific name ya jamii za reptilia? Walau basi ungetanguliza majina ya mwanzo,utawatisha wahitaji.
 
Back
Top Bottom