Natafuta mke muislam

jayone

Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
20
Reaction score
28
Ndugu zangu waislamu nimeamua kurudi huku tena ili kuweza kufunga mwaka vizur binafsi natafuta mke wa kiislamu asizidi miaka 35 mengine tutajadiliana
Mimi ni kijana wa kiislamu ninaependa uislamu wangu na ninafanya kazi taasisi binafsi umri 33 KARIBU WOTE
 
Taasisi binafsi!! Wewe utakuwa kwa bakhresa tu maana ndio mmelundikana huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…