Natafuta mke Muislam

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
333
Reaction score
689
Nahitaji Mke
Sifa awe na degree ya pharmacy
Awe na umri wa kuanzia 30 – 37
Akiwa Muislam itakuwa poa zaidi
Awe anajitambua
Nimeweka hiyo sifa kwa kuwa natamani ahudumie watu upande huo hivyo nitamwezesha kutimiza hiyo ndoto

Mengine tutaongea DM.
 

Nafasi bado ipo wazi; karibuni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…