Natafuta mke mwalimu

Darwin 9

Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
9
Reaction score
18
Nina miaka 30, nimeajiliwa na kipato namshukuru Mungu kipo fresh.

Naishi Dar es Salaam. Sina mtoto, dini mkristo. Urefu 6'2, maji ya kunde.

Natafuta mke, awe mwalimu, regardless chekechea, primary, secondary au chuo, awe ni mwalimu tu.

Kwanini Mwalimu? Well, ni sababu ni mwanamke wa ndoto zangu, naamini Mwalimu ni mzazi na mlezi bora na walimu wengi wako unique ndani ya ndoa.

Awe na umri wa miaka 25 kushuka chini, awe mweupe, asiwe na mtoto.

Mwalimu!!! muoaji nimepatikana.
 
Naona walimu wanapanda chat sana siku izi
 
Your browser is not able to display this video.

Huyu angefaa... shida ni mweusi.. bit still ni mwalimu...
 
Acha kujidanganya we jamaa!!

Oa MWANAMKE akulelee watoto achana na watumishi wa umma!!!

Utanishukuru BAADAE SANA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…