Natafuta mke mwema - Muislam

Natafuta mke mwema - Muislam

Loman

Member
Joined
May 19, 2019
Posts
30
Reaction score
30
Habari wana JF,

Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto. Naamini somewhere out there pia kuna mabinti wengi tu wastaarabu kabisa ambao wanatafuta mme mwema ambae watafungua nae ukurasa mpya wa maisha ya ndoa hatimaye wajenge familia, tatizo tu linakuwa how you two get connected.

Sifa za binti.
Umri: 22- 28 yrs
Dini: Muslim
Elimu: Certificate or Diplomal, ukiwa graduate is an added advantage.
Kabila: Lolote, sio ishu sana kwa dunia ya leo
Ajira: Uwe na ajira, au ni mtu ambaye unaweza kuajirika.
Huna mtoto.
Nafikiri sifa nyengine uta zifaham zaidi kadri tutakavyo fahamiana.
Kama una hisi una sifa hizo na upo serious, karibu PM tafadhali. This is a serious Note, jokes aside please.
 
Kama upo Dar, muone Imamu wa Msikiti wa Ngazija (Dar)
 
Kaa sababu wewe ni graduate na umeajiriwa serikalini utawapata wengi.
Pia umesahau kusema una gari
 
Ila kuwa graduate ni issue kubwa kwa anaetafta mme sii boss??
Ungemalizia tu una gari..umejenga ghorofa na una biashara za uhakika hapa mjini.
Utawapata wa kutosha
Gari sio ishu kwa binti anaye tafuta mme mwema.
 
Ila kuwa graduate ni issue kubwa kwa anaetafta mme sii boss??
Ungemalizia tu una gari..umejenga ghorofa na una biashara za uhakika hapa mjini.
Utawapata wa kutosha
Ofcoz, swala la elimu ni moja ya consideration ya muhimu unapotafuta mme/mke. Hakukua na umuhimu wa kueleza kama nin gari.
 
Back
Top Bottom