Natafuta mke mwema (Re-Advertised)

bachelor sugu

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
2,689
Reaction score
3,646
Amani ya Mola iwe juu yenu wote.

Naomba kurudia tangazo langu tena la uhitaji wa dhati wa mwanamke wa kumuoa..Pasi na masikhara wala maigizo naomba kuwasilisha tena ombi langu la kumptafuta mwenzangu ambaye yuko tayari kuungana na mume ili kuanzisha familia yenye furaha.
Ewe dada ambaye siku zote umekuwa ukimlilia M/Mungu akupe mume mwema na una sifa ukiniacha nikapita basi amini utakuwa Umejidhulumu mwenyewe.

Sifa za mke nimtakaye
Umri = 20-27
Rangi =Mweupe/Maji ya kunde
DINI = MUISLAM
Kabila =Lolote kasoro Muha
Elimu = Kidato cha IV na kuendelea
Umbo = Wastani(asiwe mwembamba wala kibonge),Mrefu.AWE MREMBO KWA KWELI
Kazi= Sio kigezo

SIFA ZANGU

Umri = 32
Rangi = Mweupe
Kabila = Muha
Elimu = Bachelor
Umbo = Mrefu& Presentable
Kazi = Mtumwa wa Serikali.

Ewe dada kama kweli seriously unahitaji mume kweli karibu PM.Kikomo changu cha muda wa kuoa ni DECEMBER 30 na haizidi hata siku moja inshaAllah hivyo kwa yule ambaye bado anataka kuchunguzana tabia kwa miaka kadhaa nakutakia kila la kheri.

NB.Poleni kwa kuwachosha na IMANI yangu ni kuwa tangazo hili litakuwa ni la mwisho kwa humu Jamvini ila I believe Mungu akinipa uhai natarajia kuoa Dec but namuoa nani bado sijajua.SERIOUS PEOPLE USIOGOPE
I'm wise enough siwezi kumfanyia mtu utoto huko PM.

WABILLAH TAWFIQ.
 
Id yako inaonesha umekubuhu
Hahaha mkuu mi sijakubuhu mkuucoz sie wanaume kidogo tuna ka-interval ambako hakuna athari sana ila kasipitilizie sana ndo maana nadhani yanipasa kuchukua hatua
 
Kila la heri best!
Kwanini humtaki muha mwenzio?[emoji848]
 
Wooooyiiiiiii vigezo vyote ninavyo kasoro hapo kwenye urembo doooh ndoa imeshanikosa hii la haula [emoji134] [emoji134]
 
Wooooyiiiiiii vigezo vyote ninavyo kasoro hapo kwenye urembo doooh ndoa imeshanikosa hii la haula [emoji134] [emoji134]
Najua unaninizingua tu,sawa bhana kama umeamua kunirusha roho hapa threadini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…