bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
- Thread starter
-
- #61
Mkuu wanawake wote uliokuwa nao km ingelazimika uwaoe basi hakika ungehitaji zile abood zaidi ya 3 ila uliyefikia kumuoa yawezekana umempick kwa mfumo unaotofautiana na hao wengine kwenye abood.Unawezaje kua na umri huo.
Una kazi.
Rijali (Nadhani)
Uwe huna mpenzi? Ambaye time hii ungemuupgrade mpaka kua wife?
Kiukweli umri wako umeniacha lakini kaka yangu kakupita kwahiyo najua kua namna ninavyoishi hata watu wenye range ya umri wako ndiyo wanavyoishi.Mkuu wanawake wote uliokuwa nao km ingelazimika uwaoe basi hakika ungehitaji zile abood zaidi ya 3 ila uliyefikia kumuoa yawezekana umempick kwa mfumo unaotofautiana na hao wengine kwenye abood.
Yeah ni kweli mkuu hapo umeongea sawa but sometym k ulikuwa na dropouts za hapa na pale kutokana na mapungufu kadha wa kadha so hata sio kwamba nafukuzia deadballs no mwenye vigezo na sifa aweza kuwemo humu pia.Thanks for your wishes lakiniKiukweli umri wako umeniacha lakini kaka yangu kakupita kwahiyo najua kua namna ninavyoishi hata watu wenye range ya umri wako ndiyo wanavyoishi.
Mwanaume anaweza kua na wanawake wawili, watatu au hata watano kwa wakati mmoja.
katika hao anakuepo mmoja ambaye yeye anajua huyu ndiyo nitaoa kwa hiyo siyo lazima abood lijae.
Anyway kila la heri.
Hahaha haya mkuu asante kwa ushauri wako mzuri.Mkuu kama kweli una nia hiyo na wahitaji oa si bora ungeenda kijijini kwenu wakutembeze nyumba hadi nyumba kuliko hii aibu. Maana mda wote huo uliowahi kuwa mtumwa wa NATE, TCU, hadi sasa gvt bado hukuwahi pata mwanamke anaekufaa.
Mkuu siamini km kutangaza hitaji hili hapa ni aibu kwa mtazamo wangu coz hii ni platform ya kuunganisha watu,kwani ni wangapi waliotoka na wapenzi ktk level zote hizo ulizozitaja halafu mwishoni wakaja kukuta??ingekuwa hivyo tusingesikia vilio vya watu kuumizwa na watu wao waliotoka nao mbali ktk mahusiano.Sekta hii haina ufundi mkuu ni kumuomba Mungu tu akuongoze hicho ndicho kikuu.Mkuu kama kweli una nia hiyo na wahitaji oa si bora ungeenda kijijini kwenu wakutembeze nyumba hadi nyumba kuliko hii aibu. Maana mda wote huo uliowahi kuwa mtumwa wa NATE, TCU, hadi sasa gvt bado hukuwahi pata mwanamke anaekufaa.
Da mkuu hii explanation yake iko very complicated aisee,tuiache tu km ilivyo.Kwanini huwataki wanawake wetu...
Nipe hela nikubembelezee [emoji39] [emoji39] [emoji39]Thad nimekuomba unibembelezee huyu ndege aje huku umekazana mshaanza kuyajenga,umemleta?
Best ndoa ya kuvuta kwa mnyororo ni hatari kwangu.Nipe hela nikubembelezee [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Basi pambana na hali yakoBest ndoa ya kuvuta kwa mnyororo ni hatari kwangu.
Hahahahaha exactly this is the best alternative,mi nipo kama Biko vile so binti atakayecheza hii draw ya mume akanipata automatically ahesabu ameshinda coz kama ni mume najiamini and no woman can dare to regret zaidi atajilaumu kwa kuchelewa kukutana na kuolewa na mm.Basi pambana na hali yako