Dona Kantri
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 346
- 115
Jieleze vizuri basi upate kuuzika; umri wako, dini, preferences etc... yani mtu awe tayai tu hata bila kuwa na idea wewe ni mtu wa aina gani? waweza kumbana na dadako ama hata shangazi yako namna hii.
kumbee?? kuhusu kabila awe kabila lolote isipokuwa mmachame, dini awe mkristo, umri awe aged between 22-26, awetayari kuishi mwanza, na asiwe mlevi
na hiyo ndoa unataka kufunga lini?
umri?
dini?
unafanya kazi?
kipato vipi?
miss chagga.....ndoa ni angalau miezi miwili baada ya kumpata, kazi mimi nimuajiliwa wa kampuni moja hapa mwanza na ninajishughulisha na biashara ndogo ndogo mwanza na geita...
Geita????? nasikia biashara kuu huko ni dhahabu kuna kipindi niliwahi kutembelea huko.. utapata mchumba subiri aje.
Kaka pale SAUT hukumpata hata mmoja??? Vimwana walivyojaa hivyo??? Vipi Kuhusu CBE, Mipango n.k. Hujawaona????
Kaka pale SAUT hukumpata hata mmoja??? Vimwana walivyojaa hivyo??? Vipi Kuhusu CBE, Mipango n.k. Hujawaona????
miss chagga.....ndoa ni angalau miezi miwili baada ya kumpata, kazi mimi nimuajiliwa wa kampuni moja hapa mwanza na ninajishughulisha na biashara ndogo ndogo mwanza na geita...
hapo kwenye red mmmmmh!!!!!!!!!!Naanza hivi;
Baada ya kuishi pekeyangu kwa muda sasa, nimeamua kujitokeza kwa mara ya kwanza kwenye jukwaa hili kutafuta mke ambaye yuko tayari kuolewa awe na elimu yoyote isipokuwa darasa la saba.......kwayeyote atakae kuwa tayari basi anipm then nitampm back.
take it seriously.
hahaaa....acha nimsubili tinna cute, vipi wewe ushawahiwa?