Natafuta mke mwema

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
Hello wana JF,

Naitwa Salehe Jafary natafuta mke mwema wa kuanza nae maisha, elimu, dini sichagui ili mradi awe mwenyeji au anapenda kuishi Mwanza, Simiyu. Umri miaka 19 hadi 25.

Aliyetayari anicheki 0743602065
 
Ndugu ngoja nikusaidie,,usitafute mwema maana hutawajua kabla,,tafuta ambae hapend kuduu mara kwa mara atajifunzia wema kwako.
 
Sasa na wale wenzangu na mimi nao watapata lini wachumba wa kuwaowa????
 
Hello wana JF,

Naitwa Salehe Jafary natafuta mke mwema wa kuanza nae maisha, elimu, dini sichagui ili mradi awe mwenyeji au anapenda kuishi Mwanza, Simiyu. Umri miaka 19 hadi 25.

Aliyetayari anicheki 0743602065
Subir atoke kwa bwana [emoji23]
 
Mungu akusaidie kwenye hitaji lako kaka
 
Hela hela basii ivi kuna mwanamke asiyeomba hela jamn..tumechoka au akae hata ka mwezi basi ajaomba yuko wapi jamn waaaappiiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…