monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
- Thread starter
-
- #21
Mkuu,mbona unajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe?Atakuja inbox!
Tupo pamoja Mkuu!Duh, jf inakila hitaji. Kuna wale wanaotafutaga waume humu ,vp hawana sifa?
NB. Ukipata na mimi nambie niweke cv zangu humu huenda nikapata mke wa nne . [emoji2][emoji2][emoji2] kwa jinsi wanawake wasikuhizi wasivyopenda ukewenza, sidhan kama ntapata +tive response kutoka kwao

Nashukur sana ndg yangu kwa kunipa courage!Muombe Mungu