Natafuta mke mwenye HIV positive

bomanyano

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
7
Reaction score
6
Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke!

Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji ya kunde, urefu futi tano inchi saba, slim body.

Mke ninayemuitaji awe HIV Positive! Awe mweupe, mwembamba, asiwe mfupi maana mm ni mrefu. Mwenye utayari wa kuhitaji mume dini yoyote umri wowote karibu PM.
 

Eeeeeh aisee

Ngoja waje tusubiri
 
Kila heri boss
 
Mungu akutangulie akupe sawa na hitaji lako [emoji122][emoji122][emoji122]
 
urefu wa futi tano na nchi saba sio urefu....sema tu unatafuta asiyekuzidi kimo chako, usiwaite wenzako wafupi, sisi tulio futi 6+ tusemeje!? anyways nina mtu pisi (mwanamke) mfanyakazi wa chuo kikuu dsm namjua ni HIV+ ni rafiki yangu, ongea na mimi vizuri nikutumie # yake inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…