Natafuta mke mwenye hofu ya Mungu

T 1984 CON

Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
49
Reaction score
81
Habari,

Mimi ni kijana wa miaka 28 niko single, nimejiajiri. Nahitaji mwanamke aliye serious, mwenye kumuogopa mungu. Awe tayari kupima.

Maelezo zaidi ni PM.
 
Wewe je unahofu ya MUNGU?? Tuanzie hapo.....btw mtu mwenye hiyo hofu anakuaje?
 
..huyo kamtafute kanisani bro, huku umeingia choo cha kike.
 
Habari,

Mimi ni kijana wa miaka 28 niko single, nimejiajiri. Nahitaji mwanamke aliye serious, mwenye kumuogopa mungu. Awe tayari kupima.

Maelezo zaidi ni PM.
Wewe una hofu ya Mungu ?,ndege wanaofanana huruka pamoja sinashaka kama una hofu ya Mungu yeye ni muweza atakupa wa kufanana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…