Habarin wana jf, mimi ni mwanaume mwenye miaka 29, ni muajiri wa umma, nimechoka kuishi single, mwanamke aliye tayari kuitwa mke, namhitaji. Naomba awe na vigezo vifuatavyo: 1. Asiwe amewahi kuolewa na kuzaa. 2. Asiwe mnene, awe wa wastanh, asiwe mrefu sana wala mfupi sana! Awe maji ya kunde, au mweupe! 3. Angalau awe amemaliza kidato cha nne! 4. Awe anayempenda mungu@mkristo. Aliye tayari Ani Pm! Kama hauko serious usijaribu!