bakari bakari 1
Senior Member
- Jul 7, 2015
- 172
- 36
Habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mwembamba mrefu maji ya kunde naishi Dar na nimeajiriwa serikalini, nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi;
Awe muislamu wa ukweli awe na umbo zuri namaanisha awe amejazia maeneo ya nyonga na nyuma hata akiwa mwembamba sawa lakini awe amefungasha nyuma sihitaji mwanamke mnene awe na rangi yoyote, elimu yoyote awe anakazi au asiwe nayo sawa awe anaishi Dar.
Angalizo huu sio utani.
Kama unasifa hizo na upo serious naomba nitafute 0718939972