Natafuta mke mwenye vigezo hivi

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
 
Kirahisi hivyo?

Tafuta house girl... Kaa naye miezi sita... Moja Kwa Moja atakuwa mke na atakuongozea mtoto mmoja
 
Utapata mwaya achana na wazinguaji hawa
 
S
Elewa mada ndugu.Mwanamke niliyemzalisha watoto hao ni mmoja.Alichoshwa na mimi kutumia muda mwingi masomoni!!!!
Sasa masomo si umamliza ndio umuoe tena mlee watoto wenu. Kama kuna uwezekano wa kumuoa huyo matoto wako bora muoe, akina dada hawa waliomaliza university kukaa na watoto wa mtu mwingine mh sisemi
 
S

Sasa masomo si umamliza ndio umuoe tena mlee watoto wenu. Kama kuna uwezekano wa kumuoa huyo matoto wako bora muoe, akina dada hawa waliomaliza university kukaa na watoto wa mtu mwingine mh sisemi
yeye penzi kwangu lilishachuja.Ananiona kama ni kama nimezeeka.Kumbuka muda wote huu nilikuwa nawatunza kwa gharama zangu.Kiufupi hata nikioa sihitji watoto wengi.Ninao wawili NITAONGEZA WAWILI kwa mke mpya na basi.
 
Naona haujanielewa,huyu mpenzi wangu wa zamani yeye yuko tofauti na mipango ya kusoma.Pia naona ananiona kama nimezeeka.Nadhani na yeye ni kama ameshawekeza mahali.
Dah... Safi Chief.. Songa mbele...hawa ukiwaendekeza sana wanakuchelewesha... Tuko pamoja [emoji13] [emoji13]
 
Nitafute.ninalojibu.
 
jana niliota nimeingia jf nikakuta mtu anatafuta mke nikapm tukaoana eti nina umbile na kitu uzima kabisa usijali kilo 98 sio mchezo hebu ni pm mkuu tuoane zetu hata kama umetokea bulgaria
 
kunasehemu umekosea katika maisha yako,. hapo hutapa mwanamke atakaye kupenda utapata mwizi tu. mtafute uliyezaa naye
asant
Cc Miss Natafuta [emoji12]
ahahaa naona mkuu umedhamiria kuniozesha mwaka huu maana hakuna sehemu huniiti ngoja nipm huyu jiandae kupokea mahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…