Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Nina miaka 26 ni single mother(mtoto mmoja)
Shape yangu ni kubwa km ulivyotaka....namaanisha shape nzuri
Elimu yangu ni form four
Ni mjasiriamali
Ni muajiriwa pia wa kampuni binafsi
Ni maji ya kunde
pm,tuongee vizuri
 
AKINA DADA NAFASI BADO IPO,MSIOGOPE!!!!!!!!!
 
jana niliota nimeingia jf nikakuta mtu anatafuta mke nikapm tukaoana eti nina umbile na kitu uzima kabisa usijali kilo 98 sio mchezo hebu ni pm mkuu tuoane zetu hata kama umetokea bulgaria
Yaaani we bidada ni full burudani, cjui ntakuonaje vile
 
Mkuu tafuta mwenye miaka 30 ndo wapo desperate enoughh wanweza vumilia we kuwa na watoto 2 ila kuanzia 25 hahahaha
Ungekua na mtoto mmoja wangekuskiliza ila anyway goodluck
 
Na yeye aje na watoto wangapi?
 
Masomoni nje ya nchi kuna uhusiano gani na kutafuta mke.. Au ndo kiki
 
Sio utani mchumba, nimeuliza ili nijue kama bado nafasi iko wazi kweli ili nichangamkie fursa.
Kumbuka natafuta mwenza wa maisha.Mimi niko huru kila ninayempata namruhusu awe wazi kwangu nami simfichi chochote.HIVYO PAMOJA NA KWAMBA MIMI NINATAFUTA NA BADO SIJAPATA, PIA NA UPANDE WA PILI UNA HAKI YA KUAMUA!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…