Mimi ni kijana wa KITANZANIA MIAKA 34,NIMEJIAJIRI ,mrefu na mweusi tii!unene wa wastani,mchumba nimtakae angalau awe n sifa zifuatazo:Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea pia umri wake uwe kuanzia miaka 20 na kuendelea mpaka 30,awe mchangamfu,rangi ya chungwa au maji ya kunde au mweusi kama mimi sawa,awe mkweli ,asiwe tapeli wa mapenzi awe serious na mahusiano,pia awe mkristo,mrefu wastani.Kwa atakayekuwa tayari tafdhali aniPm,nitajibu sms zote na kama utaona kimya basi ujue bahati imeenda kwa mwenzio!