Natafuta mke nina 40yrs

Natafuta mke nina 40yrs

Photo me

Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
7
Reaction score
4
Nimeachwa na mke!nina watoto wawili ila huyu wa pili nina mashaka kama ni wangu!mke wangu amejitahidi sana kunioneshea kuwa sina changu ila nilikuwa nampotezea sana.Ameamua kuolewa kinyemela sitaki kukamata ugoni!Sitajali akiwa na mtoto mmoja.Nahitaji mtu anayejua maisha.Samahani sitahitaji aliye chini ya miaka 28!
 
Mkuu PHOTO ME kuna dada siku si nyingi alikuwa anahitaji mume mwenye sifa stahiki na nadhani wewe unweza kumfaa sana anajulikana kama baby angel2012.Nimewamention wote ili muweze kukutana.All the best bro!
 
Last edited by a moderator:
Tulia kwanza.Mambo mengine baadaye,wanawake hawaishi
 
We hujamwelewa..... anatafuta mke wa kumlelea watoto thus y yupo faster!!

Nimemwelewa sana.Kama ni suala.....bado umuhimu wa kutulia ni busara sana, ana hakika gani huyo "mke" atakayemapata kama ataweza kuwalea vyema watoto wake.

Kwa nini kama ishu ni kulea watoto asitafute HG au amchukue ndugu yake asiye na majukumu mengi aishi naye hapo kwake.

Kumleta mke sasa hivi ni risk, anaweza kujikuta anaongeza matatizo juu ya matatizo, "Mke haeleweki kwake, watoto nao hawamwelewi/kuelewana na mama wa kambo"
 
Ninatafuta mke awe na miaka 50 - 60. Umri wangu ni miaka ya daraja la pale juu
 
Nimemwelewa sana.Kama ni suala.....bado umuhimu wa kutulia ni busara sana, ana hakika gani huyo "mke" atakayemapata kama ataweza kuwalea vyema watoto wake.

Kwa nini kama ishu ni kulea watoto asitafute HG au amchukue ndugu yake asiye na majukumu mengi aishi naye hapo kwake.

Kumleta mke sasa hivi ni risk, anaweza kujikuta anaongeza matatizo juu ya matatizo, "Mke haeleweki kwake, watoto nao hawamwelewi/kuelewana na mama wa kambo"

Kisasi @work!!
 
Hebu weka majibu yako ya ukimwi na magonjwa mengine mazito, pia weka picha yako tukutathmini.
isije ukawa mwenzetu unaumwa, na mkeo kisha tangulia halafu wewe watupiga changa la macho kuwa umekimbiwa na mke
 
Inawezekana ukanifaa wewe..!! Ngoja nichangamkie dili..!!
 
Mbona mnatukatisha tamaa tulioachika kutafuta wanawake wengine!
 
Nimeachwa na mke!nina watoto wawili ila huyu wa pili nina mashaka kama ni wangu!mke wangu amejitahidi sana kunioneshea kuwa sina changu ila nilikuwa nampotezea sana.Ameamua kuolewa kinyemela sitaki kukamata ugoni!Sitajali akiwa na mtoto mmoja.Nahitaji mtu anayejua maisha.Samahani sitahitaji aliye chini ya miaka 28!

pole maskini ni PM
 
Basi kama mzee nahisi kakimbia kutokana fimbo shida kusimama. Na hata huyo mtoto wa pili pengine ni kweli si wako, kama ni mzee na fimbo hisimami utatiaje mimba?

atakufaa mzee mwenzio, vijana kama mie watakukimbia tu
 
Mh! Una lugha kali! Inachoma sana, ungeifanya kuwa butu kidogo.
 
Back
Top Bottom