VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 403
- 545
😂😂😂Yani weweMkuu me Nina miaka 25 lakini bado sijawaza hata kuoa!, Tusubiri Hadi tufikishe miaka 40 ndo tuoe mkuuu au unaonaje😂.
😂😂😂Yani wewe
mwenzio kashauriwa na wazazi wakeHiiiii! kweli tena😔
Ahahaha miaka 40 mkuu si sitoona wajukuuMkuu me Nina miaka 25 lakini bado sijawaza hata kuoa!, Tusubiri Hadi tufikishe miaka 40 ndo tuoe mkuuu au unaonaje😂.
Nafikiri kuwa na familia huleta furaha😂😂😂Yani wewe
Basi na me namshauri Sasa, je wewe unamshauri Nini mkuumwenzio kashauriwa na wazazi wake
Nimefikiria Hilo swala kwasababu dunia ipo advanced sasa hivi nawaza nichukue online classesMaliza chuo kwanza bado mdogo
Mkuu siyo lazima kuona wajukuu, ilimradi tu umezaa😁Ahahaha miaka 40 mkuu si sitoona wajukuu
Mimi na mshauri afanye kitu roho inapenda na pia huyo anaetaka kumuoa kwa Sasa ni vyema apate mda wakusomana maana ni Kama anaharaka Sana .Basi na me namshauri Sasa, je wewe unamshauri Nini mkuu
mkuu we babu yako alikuonaMkuu siyo lazima kuona wajukuu, ilimradi tu umezaa😁
ni kweli mkuuNafikiri kuwa na familia huleta furaha
Dunia Imebadilika sasa inabidi kuenda sambamba na uhalisia uliyopo.Refa(jamii forums) Ana nafasi yake katika utandawazi.Una Miaka 26 unashindwa kushinda mechi bila msaada wa refa(JamiiForums),sasa ukifika 50's itakuaje aisee mkwamisi?wazungu walitufanya tuone jando na unyago ni upuuzi na sisi tukawaamin ila sasa naona tumeanza kulipia kwa upuuzi wet
Asbh njema
Tumeambiwa katika kitabu takatifu kwamba "tuwaheshimu wazazi wengi ili tupate kuishi miaka mingi duniani" Mara nyingi watu waliokutangulia huwa na busara na maono.Ni vyema kukaribisha mawazo yao.mzee kwa hyo unatumia akili za wazazi wako lakn ww unatembea tu na kichwa kukamilisha umbo la mwili[emoji4]
Hapana mkuu, he died when I was still in my mom's womb.mkuu we babu yako alikuona