Natafuta mke. Nipo mwanza

Tafuta huko huko mitaani.

Humu utakutana;

-Midume inayochat kama mijike, itakukoleza uishie kuhonga dume mwenzio.

-Ma reject ya jamii, midemu iliyoshindikana na kujikatia tamaa. Nyuchi zimepigizwa kiasi kwamba hata ladha hazisikii tena.

-Ma single mama yatakayokufanya kitega uchumi uishie kulea shahawa za kidume mwenzio.

-Walia shida, ukianza kuchat nao tu basi bibi atafariki, babu ataumwa, gesi itaisha, kodi itakata, nywele zitafumuka. Ni mwendo wa kulia shida tu.

Kwa kifupi mitandaoni hasa humu JF hakuna wakuoa, humu kuna waliojikatia tamaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…