Habari!, natafuta mke nipo Tanga.
taarifa zangu kwa ufupi
umri: 26yrs
Dini: muislamu
elimu: Degree Education(science)
mrefu kidogo, maji ya kunde
sifa za mke
muislamu
asizidi miaka 26
elimu iwe form four na kuendelea
asiwe mfupi sana
akitokea Tanga itakuwa vizuri zaidi.
njoo PM