Natafuta MKE serious!.

Gambaz

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
75
Reaction score
2
Habari wanaJF?,ni kijana wa miaka 27 mkristo na nina elim ya chuo kikuu. Nina urefu wa wastan pia c mnene wala mwembamba. Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke wangu soon,.awe angalau na elim ya kidato cha nne na umri miaka 20-27 bila kuangalia dini,kabila wala rangi ila asiwe mnene sana. Kwa yeyote aliye tayar(pls serious sitanii) awasiliane cremamis@yahoo.com kwa maelezo zaidi. Asanten sana.
 
I hope umeshatumiwa alau 2 emails already, maana nimeona post yako imekosa wachangiaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…