Natafuta Mke Wa Kiarabu

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
Umri wangu miaka 45,nliwah kuoa,nina kazi nzuri ,naishi Burundi,natafuta mke wa kiarabu,umri miaka 25 na kuendelea,aliye tayari aniandikie mashakayurita@ymail.com
 
Waarabu hawaolewi na waswahili vinginevyo uwe rais kama Yahya Jammeh au kibopa kama Mengi. Vinginevyo nenda Uarabuni ujaribu wazo hili uone watakavyokunyongelea mbali. Hujui hawa jamaa ni wabaguzi hakuna duniani? Wao huoa vibinti vyetu vizuri na kuficha watoto wao Arabuni hata kwa hawa waarabu koko wetu hapa nchini.
 

Mkuu,

Kwenye post zako huwa naona unapinga generalization (kitu ambacho hata mimi nakiunga mkono). Imekuwaje tena hapa na wewe unafanya generalization?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwetu ni Kamachumu, wilaya ya Muleba..Hapa wapo waarabu wa kumwaga njoo mwenyewe uchagua mwanamke safi, utimize ndoto yako ya kuoa muarabu.

Tahadhari:
Hawa mabinti hata kiswahili hawajuhi, wanaongea kihaya tu, hawawezi kuvaa viatu mchuchumio labda kandambili tu. Kwa kifupi wameisha adapt maisha ya kikwetu jiandae kuwafundisha kuoga nk.
 
Wewe mwarabu? Mbona zinafanana tu, unajihadaa
 
Mwarabu koko,mwarabu poli,mwarabu toleo la mwisho,mwarabu wa kichina au mwarabu wa oman?yupi hasa unamtaka? Manake hata gari huwezi kusema tu nataka kununua gari bila kujua ni gari gani.
 
Wewe mwarabu? Mbona zinafanana tu, unajihadaa

Ha ha ha haaa, Madam umenikumbusha scenario 1, a friend of mine aligonganisha vibinti ambavyo ni marafiki mmoja wao akamtumia msg inayosema " Acha utoto, wewe ni mtu mzima sasa, zote ni zilezile tu na zina utamu uleule tu"
 

doh... amakweli... :A S thumbs_down: waarabu hawaolewi na waswahili????? Wabaguzi wengi tu kaka hata hawa wazungu tunaowapapatikia aisee.. ishu ni familia kujuana ... wenyewe kukubalia hilo suala. Mifano ya ndoa mchanganyiko hususan waarabu ni common saaanaaaa yani usiseme.. karibu tanga bwashee.. lol sio wote baana.. get yo facts right. :coffee:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…