Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

Kwanini ni lazima awe anaishi Dar? Au jioni atakua anarudi kwao?
Nitajibu kwa niaba, naona akiwa Dar itarahisisha zaidi mchakato wa Ndoa uwee wa haraka zaidi yaan wiki 2 tayari washaoana, naomba swali lingine tafadhari mkuu
 
Dini : mkristo
"Dini : mkristo"! Unamtaka wa kufungua naye kanisa?
 
Mleta mada umefanya haraka sana kuitumia ID yako ya zamani humu,

Ungesubiri kwanza,yani nimeshaijua ID yako ya zamani tayari,yani unatumia ID yako ya zamani kujipigia debe na kuwafahamisha wachangiaji.

😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…