Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

Tafuta pesa btn tafuta kasichana maeneo unakoishi below 22 yrs kanakoishi na wazazi wake wa kumzaa ukaoe
 
Mwanamke sifa zake
1.Asiwe mfupi sana
2.Awe mkristo muislam sawa ila awe tayari kubadili dini.
Elimu Angalau aanze na diploma
Umri usizidi 28
Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe Anaishi Dar
Awe na muonekano kiasi
Ukishakuwa serious kwenye kutafuta mke hivi vigezo vyote utaona nonsense.

Suala la kuoa na kuolewa halina formula
​
 
Ila mwamba unazingua. I doubt kama hata hiyo bachelor ya engineering kama unayo kweli. Yani engineer haujui metrics?

Mwanzo umesema una kimo cha 1.70ft nimekuonyesha kosa ulilofanya still umeenda kurekebisha umetoa 1.70ft umeweka 1.70cm.

Hivi kweli engineer kuna binadamu ana kimo cha centimeter 1.7?

Engineer unatuharibia.
 
Ndio maana anahitaji MKE
 
Weee tafuta demu pisi kali muonekano kiasi nao wanashenyentwa tuu. Usiogope kugongewa mke kama unataka ndoa
 
Inashangaza sana
 
Sijapania mkuu najaribu kuwaelewesha ambao hawajamuelewa mdau wamuelewe angalau
Unachekesha
Ni kama ile unaongea na mtu kwenye sim haelewi unataman uzame kwenye simu umzaabue kofi na kwa sauti
Unabak kurudia rudia had majiran wanaskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…