Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

Wakijs zaidi ya mmoja nigaie na mimi
 
Unataka kuoa au kupiga?
Kwanini lazima awe Dar ni mlima kwamba haami, na udini wa nini mnaenda kufungua kanisa?
Na hiyo Diploma mnaenda kufanyia nini huko ndoani?
Maswali ya kipuuzi kabisa, mbaya zaidi unaweza kuta ni mwanaume unauliza haya maswali! 🤔
 
Bwana Consultant, umri wako wa 32, mkeo anapaswa kuwa na miaka 21- 25. Ama atakuwa Chuo au kamaliza mwaka jana.
FPTs wanaingia mtaani, tumia chance vizuri.
 
Ukitaka kufurahia mwanamke tafuta mwenye sura personal vinginevyo utakufa na msongo wa mawazo kama huamini muulize mfanyabiashara aliyejiua kule Kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…