Reptilia JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 867 Reaction score 847 Jul 26, 2018 #1 Rejea kichwa cha habari hapo juu,,natafuta mke wa kuoa..mm nina miaka 40,,mke mtarajiwa awe na miaka kuanzia 20 had 35,awe kipotabo kidogo awae na kamzigo kidogo awe maji ya kunde mnakaribishwa..
Rejea kichwa cha habari hapo juu,,natafuta mke wa kuoa..mm nina miaka 40,,mke mtarajiwa awe na miaka kuanzia 20 had 35,awe kipotabo kidogo awae na kamzigo kidogo awe maji ya kunde mnakaribishwa..
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Jul 26, 2018 #2 Utaweza kuandika posa kweli?!
majohe kona JF-Expert Member Joined May 23, 2018 Posts 257 Reaction score 263 Jul 26, 2018 #3 Nokia83 said: Utaweza kuandika posa kweli?! Click to expand... Wanahitajika watabarikiwa na yeye
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Jul 27, 2018 #4 Mugu akupe haja ya moyo wako.