steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Habari,
Mimi naishi Songea, najishughulisha na ufundi, nimekuja mbele yenu nahitaji mke wa kuoa ambaye ameamua sasa kutulia na familia. Awe single mother, asizidi mtoto mmoja. Nahitaji single mother kwakuwa ninaamini kitu ndani yao, mimi Mngoni.
Sifa za ziada

- Awe anajishugulisha.
- Awe tayari kujishughulisha.
- Awe mkristo au awe tayari kubadili.
- Asizidi miaka 31.
- Kabila lolote.
- Awe tayari kuishi Songea.
- Akiwa mfupi basi awe na mwili kidogo.