Ahadi ya kweli2017
New Member
- Oct 12, 2017
- 4
- 4
Habari najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke wa kuoa nipo serious na ombi langu ninalo lileta kwenu.
Naitwa Jackson mwenye umri wa miaka 34.Nina Elimu ya chuo kikuu,mimi ni mweusi ,kabila mnyamwezi ,dini mkristu,sijawahi kuoa,mtoto sina,.sigara situmii,pombe sinywi,kazi mwajiriwa,nina urefu wa wastani,sio mnene sana.
Mke ni mtakaye awe mwenye sifa zifuatazo:
a)Asiwe na weupe wadukani wala kutumia kemikali za kumfanya awe mweupe.
b)Asiwe na mtoto
c)Awe hajawahi kuolewa
d)Dini yeyote.
g)Kabila lolote.
e)Anayejua thamani ya Ndoa yake
f)Mwenye mapenzi ya dhati na yupo serious kuolewa
g)Pombe wala sigara asitumie
N:B kama upo serious na ombi langu wasiliana kwa +255756711958 au ni PM kwa mawasiliano zaidi.Pia samahani ndugu zangu mke anapatikana popote pale kuoa hakuna kanuni,