Natafuta mke wa kuoa nina umri wa miaka 33

Natafuta mke wa kuoa nina umri wa miaka 33

chavalla

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
451
Reaction score
354
Kama we ni mkazi wa dar umri miaka 18-25 mkristo uwe tayari tukapime HIV na uwe na kajishughuri chochote chá kukuingizia kipato. Nipo hapa kwajiri yako nitafute.
 
Nadhani umefika wakati muafaka kwa mods kutoa muongozo jinsi ya kuandika thread za kutafuta wachumba,maana watu wanaandika hovyo hovyo tu.
 
Back
Top Bottom