project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Hapo mwisho πππππWakuu natafuta mke mwema wa kuoa nisogeze naye maisha sifa zangu ni kijana wa
1.miaka 30
2.mfanyabiashara mdogo
3.elimu , degree
4. mweusi mrefu
5. Mkristo
Mke ninaye mtafuta awe
1.mkristo.
2. Umri usizidi 30
3. Elimu kuanzia darasa la saba
4. Mkristo
Kama kuna mwenye uhutaji ni pm uwe na mtoto usiwe na mto sawa nachoka upweke nataka mwenza
Sema unatafuta wa kukupunguzia upweke sio mkeWakuu natafuta mke mwema wa kuoa nisogeze naye maisha sifa zangu ni kijana wa
1.miaka 30
2.mfanyabiashara mdogo
3.elimu , degree
4. mweusi mrefu
5. Mkristo
Mke ninaye mtafuta awe
1.mkristo.
2. Umri usizidi 30
3. Elimu kuanzia darasa la saba
4. Mkristo
Kama kuna mwenye uhutaji ni pm uwe na mtoto usiwe na mto sawa nachoka upweke nataka mwenza
Ili mradi anapumua [emoji16][emoji16]Hapo mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda pm faster. Mbona ameruhusu! Hata mwenye mtoto anamkubali! Msisahau kunialika siku ya harusi yenu iwapo tu mtaafikiana.Nina mtoto mmoja wa kiume wa miaka 3 umri wangu 27 dini mroman kathoric,je naweza kukufaa?