Natafuta mke wa kuoa

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
145
Reaction score
165
Habarini wana jamvi?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni mkulima pia ni mjasiliamali.
Nashukuru mungu hapa nilipo fika ninauwezo wa kuhudumia familia. Mimi ni mkristo nahitaji kuwa na mwanamke naona wakati wa kuwa na familia umefika.
Awe mcha Mungu, anae jiheshimu , awe mchapa kazi,
NAHITAJI MWANAMKE ALIYE SERIOUS NA ANAE ISHI KWA MALENGO.
Kwa alie tayari aje pm.
 
0654191006
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…