Habari zenu wanajamvi,bilashaka mmekuwa na jpili iliyonjema kabsa.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35,ni daktari wa binadamu na naishi dar na nimebahatika kupata watoto wawili ambao nawapenda sana ,ila kwa bahati mbaya mzazi mwenzangu na mimi tunatofautiana imani hivyo yeye na family yake hawakuwa tayari kufunga ndoa ya aina yoyote zaidi ya kislamu.Jitiada za wazee ziligonga mwamba na hapo ndo ukawa mwisho wangu na yeye.
Kwa sasa nalea watoto wangu na namshukuru Mungu wana amani na furaha na uwa nawaruhusu kwenda kwa mama yao,life goes on. Ndugu zangu kwa sasa umri unasonga plus changamoto za kazi kuna wakati unaitaji mtu wa kukuriwaza na kukutia moyo ,hivyo naitaji binti wa kuoa .
VIGEZO:
awe angalau na mtoto mmoja,
Awe mkristu
Asiwe mpare
Awe na malengo na mwenye kuamini katka kujiajiri
Umri 25 mpaka 33
Elimu ya chuo kikuu katka fani yoyote
Mwenye kujiheshimu
Kwa alie serious anaweza ni pm,asante
Post sent using JamiiForums mobile app