Natafuta mke wa kuoa

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
matumaini yangu woote wazima.Nimejitokeza kwenu naitaji mwenza[mke]

kwa majina naitwa steven nipo songea
umri wangu miaka 24

elimu yangu ni ya kidato cha nne

najishughulisha na ufundi wa magari pia mimi ni welder[muunga vyuma] ila kwa sasa nipo shule natamani niwe fundi zaidi kwenye welding

kabila langu mngoni pia mrefu wastani ,mwembamba rangi ya maji ya kunde

natafuta mwenza umri chini ya 24 awe rangi yoyote asiwe na umbo kubwa yaani napenda mwembamba awe mkristu kama mimi pia hata akiwa na mtoto siyo tatizo

aliyeguswa tuwasiliane kwa namba hii 0713861567
 
Ngoja wakina mapunda, ngonyani, Nyoni, Komba, Ndumbaro, Haule, waje wakuunganishie
 
Maliza shule kwanza kijana. Timiza ndoto zako kwanza.

Piga kwanza mtaani kwako.
 
We sema una tafuta k. Basi! Watakuuwa hawa watu shauri yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…