Natafuta mke wa kuoa

Joined
Jun 28, 2018
Posts
6
Reaction score
12
Naitwa Luqman kutoka Kenya nko na 28yrs na natafuta mchumba umri wake uwe chini ya 28yrs, awe atleast amefika secondary kidato cha sita Tanzania. Rangi na kimo chochote sichagui wala dini pia. Mi mrefu 5.9ft and brown, holder of Bachelors Degree in Procurement. Ikiwa upo tafadhali naomba tuwasiliane kupitia Private Message.
 
Utapata mkuu wapo wengi mno maana wanaume wa huku wanakuja kuoa kwenu
 
Nenda facebook wapo wa kumwaga, we ni kujieleza tu una kazi gani! ama unamiliki gari gani!! watakuja tu..
 
Mkuu ukikosa tena na Tanzania,jaribu Burundi!
 
hii lafudhi mbona ni ya TZ?[emoji56]
 
Reactions: Sax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…