Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

KooZito

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2020
Posts
397
Reaction score
1,377
Natafuta mwanamke aliyetayari kwa marriage si ngono. Sijawahi kuoa ila ninaye mtoto wa kike wa miaka 7. Umri wangu miaka 39.

Mbali na tabia njema, pia ninavutiwa na mwanamke maji ya kunde, mrefu wa kawaida, asiwe na asili ya unene maana mi ni mwembamba.

Awe mcha Mungu Mkristo wa dhehebu lolote. Kabila lolote. Mengine tutajua mbele ya safari. Ila ajue mimi nagonga bia mbili tatu. Karibu.
 
Back
Top Bottom