hadi wewe domo zege ?Hata mi natafuta aisee
Mimi ni introvert mbobevu, Kama jasusi la LINDI lililogombea uraishadi wewe domo zege ?
Hamna shida, sihitaji tuu awe mwembamba basiSasa bwana Jackson unatafuta binti wa asiyezidi 25 yrs mnene, uko mbeleni unataka kurudi na lawama kama sio topic ya "MKE WANGU KAWA KAMA TEMBO"
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Sasa bwana Jackson unatafuta binti wa asiyezidi 25 yrs mnene, uko mbeleni unataka kurudi na lawama kama sio topic ya "MKE WANGU KAWA KAMA TEMBO"
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Chupa ile ile ila bia ni mpyaHongera sana Mkuu...Post ya kwanza umeanza na kutafuta mchuchu.
dogo mwanamke wa kuoa umri wake unatakiwa uwe sawa na umri wako gawanya kwa mbili jumlisha saba au chini ya hapo. Mfano wewe unatakiwa uoe mwanamke mwenye miaka 20 and bellow. Thank me later.
Naitwa Jackson nipo Moshi,
Sifa zangu mimi ni mkweli, muwazi, mpole, kazi nimejiajiri, umbo langu ni saizi ya kati sio mnene wala mwembamba na umri wangu ni miaka 26. Natafuta mchumba mwishowe awe mke wangu, sifa za ninayemhitaji, awe mnene wa umbo sihitaji mwanamke mwembamba , mpole, mkweli, muwazi, awe anajishughulisha na kazi yoyote halali pia umri wake asizidi miaka 25.
Kama yupo mwenye sifa hizo anitafute kwa namba 0629235516.
Asibipu, apige au atume sms nitajibu.
Ahsante.